Lyrics

Ni Tabibu Wa Karibu Lyrics

Ni Tabibu Wa Karibu Lyrics – Angela Chibalonza

Nitabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Na nehema na daima
Ni dawa yake njema
Hatufai kuwa hai
Wala hatatumai ila yeye kweli ndiye
Atupumzishaye

Imbeni malaika sifa
Za Yesu Bwana
Pweke limetukuka Jina lake Yesu

Dhambi pia na hatia ametuchukulia
Twenendeni na amani
Hata kwake mbinguni
Uliona tamu jina la Yesu Kristo Bwana
Yuna sifa mwenye kufa hasishindwe na kufa

Imbeni malaika sifa
Za Yesu Bwana
Pweke limetukuka (limetukuka) Jina lake Yesu

Kila mume asimame
Sifa zake zivume
Wanawake na washike
Kusifu jina lake

Imbeni malaika (sifa) sifa
Za Yesu Bwana (ooh pweke)
Pweke limetukuka (limetukuka) Jina lake Yesu “

Click Here To Download

Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *