Gospel

Ameniweka Huru Kweli – Papi Clever & Dorcas Ft Merci Pianist

Ameniweka Huru Kweli is a gospel song by Papi Clever and Dorcas, featuring Merci Pianist. The song is a testimony of how God has set them free from bondage and sin, and how they are grateful for His grace and mercy. The song has a catchy melody and a lively rhythm, with a blend of Swahili and English lyrics.

Ameniweka Huru Kweli – Papi Clever & Dorcas Ft Merci Pianist video link

 

Click Here To Download

The singers deliver their vocals with passion and conviction, while Merci Pianist adds some flair and harmony with his keyboard skills. The song is uplifting and inspiring, and it encourages listeners to trust in God and celebrate His goodness. Ameniweka Huru Kweli is a song that will make you dance and praise God for His wonderful works.

Ameniweka Huru Kweli Lyrics

“Ameniwaka huru kweli
Naimba sasa: Haleluya! 
Kwa msalaba nimepata 
Kutoka katika utumwa (Repeat)

Nimeokoka, nafurahi! 
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote

Zamani nilifungwa sana
Kwa minyororo ya shetani
Nikamwendea Bwana Yesu 
Akaniweka huru kweli  (Repeat)

Nimeokoka, nafurahi! 
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote  (Repeat)

 

Neema kubwa nilipata
Kuacha njia ya mauti
Na nguvu ya wokovu huo
yanichukua siku zote

Nimeokoka, nafurahi! 
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote  (Repeat)

 

Na siku moja nitafika
Mbinguni kwake Mungu wangu
Milele nitamhimidi
Na kumwimbia kwa shukrani (Repeat) “

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *