Gospel

Yesu Ameniokoa – Papi Clever & Dorcas Ft Merci Pianist

Yesu Ameniokoa Lyrics

1
Yesu ameniokoa, amenipa utulivu. – Jesus has saved me, he has given me peace.
Kwake ninaona raha, ninataka kumsifu. – I see pleasure in him, I want to praise him.

Haleluya, haleluya! Nimefika bandarini. – Hallelujah, hallelujah! I have arrived at the port.
Haleluya, haleluya! Jina lake ni mnara. – Hallelujah, hallelujah! Its name is a tower.

Yesu Ameniokoa – Papi Clever & Dorcas Ft Merci Pianist video link

2
Kwa furaha ninaimba wimbo mpya wa wokovu. -With joy I sing a new song of salvation.
Nisichoke kamwe hapa kumwimbia Mkombozi. – May I never get tired of singing to Mkombozi here

3
Ni habari za neema zakupasha pande zote. – It is news of grace that warmed all around.
Mhubiri, enda mbio kufikia nchi zote! – Preacher, run to reach all countries!

4
Yesu, siku nita’kufa na maisha ni tayari, – Jesus, the day I die and life is ready,
nichukue kwako juu penye raha ya milele! – take me up to you where there is eternal pleasure!

Click Here To Download

Because He Lives – Papi Clever & Dorcas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *