Gospel

Ninakumbuka Sauni – Papi Clever & Dorcas Ft Merci Pianist

Ninakumbuka Sauni Lyrics

1
” Ninakumbuka Sayuni, nchi ya heri mbinguni – I remember Zion, the blessed land in heaven
bahari kama kioo na furahia rohoni – the sea is like glass and I rejoice in my soul
Nyuma kimeta cha nuru Naona mji wa mbingu – Behind the anthrax of light I see the city of heaven
nyimbo za nyumba ya Baba nasikiliza daima – the songs of the Father’s house I always listen to

Mapambazuko mbinguni yataondoa utaji – The dawn in heaven will remove the veil
vyote tulivyoamini tutaviona milele – all that we believed we will see forever.

Ninakumbuka Sauni – Papi Clever & Dorcas Ft Merci Pianist video link

2
Mauti haina nguvu, Yesu a’vunja uchungu – Death has no power, Jesus broke the pain
naye aliwakomboa wote; wafalme, watumwa – and he redeemed them all; kings, slaves
Ninamtwika Mwokozi dhambi, huzuni na shida – I put sins, sorrows and problems on the Savior
mbavuni mwake nafasi kama bandari salama – in his side a place like a safe harbor

3
Kuna jaribu njiani, mengi yakunizuia – There are trials on the way, many hinder me
na mara nyingi miiba, inaumiza miguu – and often thorns hurt my feet
Nikikumbuka Sayuni moyo huwaka kabisa – When I remember Zion, my heart burns
mbingu ninaitazama na ku’himiza safari – I look at the sky and encourage the journey ”

Click Here To Download

Tembea Nami – Papi Clever & Dorcas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *