Lyrics

Mbele Ninaendelea Lyrics

Mbele Ninaendelea Lyrics

” 1. Mbele ninaendelea ninazidi, kutembea
maombi uyasikie, Ee Bwana unipandishe.
Ee Bwana uniinue, Kwa imani nisimame,
Nipande milima yote ,Ee Bwana unipandishe .

2.Sina tamani nikae, mahali, pa shaka kamwe,
Hapo wengi wanakaa , kuendelea naomba

3.Nisikae duniani, ni mahali pa shetani,
Natazamia mbinguni, aitafika kwa imani

4.Nataka nipandishwe, juu zaidi yale mawingu,
Nitaomba nifikishe, Ee Bwana unipandishe. ”

Nataka Nimjue Yesu Lyrics

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *