Mixes

Sikutambui Lyrics

Sikutambui Lyrics By Wakadinali

Big Beats Afriq
For real
Mbona ni nyinyi nawawasha
Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker
Bro amejituma ako kazini anaisaka
But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?
Woi! Aki si Kenya kuna content
Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote

Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope
Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
Normally shembeteng, ma molly kwa Heineken
When am me, you’re my friend
We got rich in the ends

Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun
Ka huamini tuko lose ulize aling’am
Si ni maburglar for sure na hii si siri
Balaclava huezi nijua kwa CCTV
Bro nikimwambia haskii na ye’ si kiziwi
Ka si biz utanipata nimesare sikimbizwi

Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na waks ka unang’am, na mawaks ka unang’amNa mawaks ka unang’am, na una
Wazing wako na waks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am, na una

Bora na waks wathara
Ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara
After masjid masti ikilost
Easich wazing tunapiga baroda na kigwara
Tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost
Hizo mangoto six feet deep, deep ni vile alimarwa

Homeboyz hapana taka mchezo ati nahama
Tomboys bomboclaat bado unazimarwa
Baroda sarе kindipi tukishoot hizo masaa
Minus warazi tuna-addingi ma ombre

Sitaki news joh mheshimiwa kuliеndaje tena jamaa?
Divide makazi zi-times-ingi to the jobless
What about QCCBs?
How about Gen Z how about that?
What about QCCBs?
How about Gen Z how about that?

Kuna pahali nafaa kwenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na waks ka unang’am, na mawaks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am, na una
Wazing wako na waks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am

Yo, tunadrip design tumekuwa maplumber
Tunabeef joh, sidhani ka mtaezana
Labda p-stock ama kofi ka ya Anan
Pigia Skillo tuchukue maskan ka za das
Mi ni pro kwa hii shit si ati najigas
Kuna bro amejipinkia AP na ngiwap
Mili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap

Tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps
Moshi moja ya pili ya utat na unakuf kuf
Tuko holy masoldier, matroop na ma crew crew
Unang’am? Unang’am?
Uli-ulidai ati una kitu na
Una makali na graph yetu inaimprove
Speed flani Kawasaki nikikam through
Kama lightning, tukijam ni kustrike tu
Kuthigitha warazi ndo kitu si hu-do

Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na waks ka unang’am, na mawaks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am, na una
Wazing wako na waks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am, na una

Wazing wako na waks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am, na una
Wazing wako na waks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am
Na mawaks ka unang’am, na una

Wakadinali – Sikutambui

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *