Israel Mbonyi – Sikiliza
Verse 1
Kwa Sasa ya dunia
Kwangu Ni kama yameangikwa
Yaliyokuwa faida
Nayahesabu kama hasara
Sikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako.
Israel Mbonyi – Sikiliza video link
Chorus
Nimehesabiwa haki
Kwa damu yake mutetezi
Jina langu Limeandikwa,
Kwenye kitabu cha uzima
Sikiliza dunia ,
Ujuwe kwamba mimi si wako
Verse 2
Sasa maumivu Hayanitishi
Nitayasahau kwa Yesu
Haijadhihilika nitakavyokuwa
Tutafanana akidhihilika
Ewe mbingu Yakili Haya maneno
Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako
Love the song ❤️