GospelLyrics

Israel Mbonyi – Nita Amini

Nita Amini by Israel Mbonyi Lyrics

Verse 1
” Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini
Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme
Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa
NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya,
Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu

Israel Mbonyi – Nita Amini video link

Chorus
Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu,
Si na mashaka wanibeba mgongoni
Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini

Click Here To Download

Verse 2
Si Mara ya kwanza kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu
Ni na historia maalum,We ni chemchemi ya uzima.

Outro
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaamini
Ukinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaamini
Ukibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaamini
Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu ”

Israel Mbonyi – Nina Siri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *