Kenyan Music

Breeder LW – All Caps

All Caps By Breeder LW Lyrics

“Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile Beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga,
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha,
Big Fuc*ing Baba Weka All In Caps Ukiiiandika

Naskia Vera saa hii ako single naeza dai ibaki hivo,
Me and her can be item ndio Brand iongeze Mauzo
Ikikam kwa ile mchezo nina skills set ya Gaucho,
I’m a lake side boy na nimenonesha mfuko
Flow ni ya 2007 but naileta ikiwa fresh
Enzi Prezzo alikua na Nikki alafu pulse ilikua gazzet
Lil Wayne akiwa The Best, Cater 3 ilikua on deck
Sasa mbona Undertaker me ni beef na likobe

Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile Beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga,
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha,
Big Fuc*ing Baba Weka All In Caps Ukiiiandika

Click Here To Download

Step on dem like a hood rat,
High table nakuja kukuja ,
Pockets deeper and too fat
Na huezi nipima , I’m too smart
Skanking ka hio parking ya quickmart watchie anashindwa ni nini amenusa
Cause I didn’t have J’s on my shoe rack me huvaa ndulla niki tupa ka toothbrush
V6 na nishajaza coolant
Mpepe ni ganji imetumwa
Wid a peng ting, kama sutra kwa sauna,
Enjoying the view, si ni flora na fauna,
Na Top ndani ya drop top ka bonus
Paper chasing me ntado the honors
After mboka ma sura walionwaa,
Imebaki wameficha ka cure ya ebola
Kila Ghetto yut si ni super star, super star
Mbling na mapetco na ma super car,
Keja na garden, pool room kadhaa,
Bado underration ndio si ukataa,
Mungu ni nani, In God we trust
Mahali nimetoka jo ni so far
Siitaki kama sii ideserve
Put in work ntaiwai ka nimei earn

Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile Beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga,
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha,
Big Fuc*ing Baba Weka All In Caps Ukiiiandika.”

Breeder LW – Naipenda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *